Naomba kuuliza ,kuna mama aliolewa mwaka 19975 huku mbeya na walibahatika kupata watoto 6 ,pia walijenga nyumba mbili,na mashamba yakutosha baada ya hapo mume akampiga nakumtishia akaondoka nakurudi moshi, mwaka 1986,na hadi sasa yupo nyumbani zakupanga na hana uhakika nasehemu ya kuishi,ingawa yule mwanaume aliowa nakupara watoto watano wore niwakubwa na wanajitegemea je anaweza kupata haki take ? Maana malizote walizochuma pamoja zipo

Habari, tafadhali wasiliana na ofisi zetu za TAWLA Mkoa wa Mbeya kwa nambari hizi +255 652 392 999 kwa msaada zaidi.